Tanzania Higher Learning Institutions Trade Union (THTU) ni chama kilicho sajiliwa tarehe 12/12/2008 na kupata usajili Na. 23 (reg.23) chini ya sheria inayosajili vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini, Na.6 ya mwaka 2004). THTU inajumuisha wafanyakazi wa vyuo vikuu, Vyuo vikuu vishiriki...
Wafanyakazi wote wa Taasisi za Elimu ya Juu nchini wana hiari ya kuwa wanachama wa THTU kama sheria za kazi zinavyolekeza juu ya uhuru wa wafanyakazi kujumuika pamoja kwa hiari.
Lengo likiwa kinga, kulinda na kuangalia ustawi wa wafanyakazi wakati huo kuangalia njia za kusaidia kupunguza athari za kiuchumi kwa wafanyakazi.