VIONGOZI WA THTU TAIFA

Mwenyekiti THTU Taifa - Dkt. Paul Loisulie

Katibu Mkuu - Ndugu Elia Kasalile

Mwekahazina wa Chama - CPA. Hendrick Komba

Mratibu Mkuu Kamati ya Wanawake THTU Taifa - Ndugu Salma Fundi

Mratibu Msaidizi Kamati ya Wanawake THTU Taifa - Ndugu Roselyne Massamu

Mwakilishi wa Vijana Taifa – Ndugu Julieth Mchunguzi

Mwakilishi wa wanachama wenye ulemavu Taifa - Ndugu Santina Bugenyi

WAJUMBE WA KAMATI KUU YA CHAMA TAIFA

  1. Ndugu Anna Mwamwezi - Mjumbe kutoka Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA)
  2. Ndugu Baraka Mkanwa - Mjumbe kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu John Tanzania (SJUT)
  3. Ndugu Masore Masogo - Mjumbe kutoka Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA)
  4. Ndugu Imani Haule - Mjumbe kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

WATUMISHI WA THTU (THTU STAFF)

  1. Katibu Mkuu - Ndugu Elia Kasalile
  2. Msaidizi wa Uhasibu - Ndugu Suzane D. Mremi
  3. Katibu Muhsusi - Ndugu Gudila T. Mtalo
  4. Kaimu Naibu Katibu Mkuu/Afisa Sheria - Ndugu Mohamed Kusekwa
  5. Afisa Elimu kwa Wafanyakazi - Ndugu Salum Hamisi

VIONGOZI WA MATAWI YA THTU

  1. Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS)
    1. Ndg. Charles Marwa (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Emiliana Mbwiga (Katibu)
  2. Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM)
    1. Ndg. Nuriati S. Hamisi (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Joyce Parshuku (Katibu)
  3. Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU)
    1. Ndg. Prosper Sangawe (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Ibrahim Rwenza (Katibu)
  4. Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA)
    1. Ndg. Paul Salia (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Anna S. Mwamwezi (Katibu)
  5. Chuo Kikuu Mzumbe (MU)
    1. Ndg. Adria Fluge (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Bahati Ilembo (Katibu)
  6. Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE)
    1. Ndg. Eunice Ndomondo (Kaimu Mwenyekiti)
    2. Ndg. Constantino Mwachota (Kaimu Katibu)
  7. Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es salaam (DUCE)
    1. Dkt. Innocent Buberwa Rugambuka (Mwenyekiti)
    2. Dkt. Josta L. Nzilano (Katibu)
  8. Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)
    1. Ndg. Deogratias Dafi (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Samwel M. Jingu (Katibu)
  9. Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) - Dodoma Kampasi
    1. Ndg. Mariam Shadollo (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Zaina Mgoi (Katibu)
  10. Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT)
    1. Ndg. William L. Mboma (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Bundala Wibert (Katibu)
  11. Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)
    1. Ndg. Salatiel Chaula (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Mark Issamaki (Katibu)
  12. Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST)
    1. Ndg. Emmanuel Mwangomo (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Willy Mhema (Katibu)
  13. Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima, Dar es salaam (TEWW)
    1. Ndg. Sylvia Shengena (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Hamisi Machangu
  14. Taasisi ya Ustawi wa Jamii (ISW)
    1. Ndg. Alphonce Magambo (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Ali A. Khamisi (Katibu)
  15. Chuo cha Ufundi Arusha (ATC)
    1. Ndg. Castory Mkumba (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Sospetter I. Isambula (Katibu)
  16. Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU)
    1. Ndg. Athanasio A. Daud (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Bosco T. Mtani (Katibu)
  17. Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, kampasi ya Kizumbi, Shinyanga
    1. Ndg. Davis Owen Binamu (Kaimu Mwenyekiti)
  18. Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)
    1. Ndg. Edson N. Baradyana (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Sylvester J. Ndalu (Katibu)
  19. Chuo cha Mipango Dodoma (IRDP)
    1. Ndg. Daniel Mchomvu (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Francis Mbonde (Katibu)
  20. Chuo cha Serikali za Mitaa, Hombolo (LGTI)
    1. Ndg. Tatu Lesso (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Scholastica J. Nyabweke (Katibu)
  21. Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (EASTC)
    1. Ndg. Sixtus M. Otieno (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Devotha Mwingira (Katibu)
  22. Chuo cha Uhifadhi na Usimamizi wa Wanyama Pori, Mweka
    1. Ndg. Gastor L. Lyakurwa (Mwenyekiti)
    2. Dkt. Kokel Melubo (Katibu)
  23. Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA)
    1. Ndg. Itiha Osward Mwachande (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Joseph Isindikilo (Katibu)
  24. Taasisi ya Maendeleo ya Usimamizi wa Maji (WI)
    1. Ndg. Godfrey Mwanahanja (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Anna Mremi (Katibu)
  25. Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA)
    1. Ndg. Evagro Justin Bahati (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Eva Renson Shumbusho (Katibu)
  26. Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU)
    1. Ndg. Petro Mugandila (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Godness Kisoka (Katibu)
  27. Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (LST)
    1. Ndg. Khery Sanga (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Abel Mang’olo (Katibu)
  28. Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam (DIT)
    1. Ndg. Georgia Rugumila (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Nassoro S. Nassoro (Katibu)
  29. Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE)
    1. Ndg. John W. Ngowi (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Elizabeth Macha (Katibu)
  30. Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST)
    1. Ndg. Mdoe Mwamnyange (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Joseph Swai (Katibu)
  31. Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD)
    1. Ndg. Jackson E. Mhoho (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Sekela G. Mwakyusa (Katibu)
  32. Chuo Kikuu Cha Marian (MARUCO)
    1. Ndg. Kisoma Mfano (Kaimu Mwenyekiti)
    2. Ndg. Regina Kisima (Kaimu Katibu)
  33. Chuo cha Mipango Ya Maendeleo Vijijini, Kanda Ya Ziwa - Mwanza
    1. Ndg. Nicholaus Ngowi (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Christopher Mdoe (Katibu)
  34. Chuo Kikuu cha St. John Tanzania (SJUT)
    1. Ndg. Baraka Mkanwa (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Clarence Nyoni (Katibu)
  35. Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU)
    1. Ndg. Daudi Simon (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Wilfred Mdolloh (Katibu)
  36. Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kampasi ya Mwanza
    1. Ndg. Evans Crispin Mwashambwa (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Jonathan J. Kahatano (Katibu)
  37. Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Mbeya
    1. Ndg. Essau A. Sengo (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Jesoph Mhando (Katibu)
  38. Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam (DIT) Mwanza Kampasi
    1. Ndg. Sosten Kyando (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Issa J. Issa (Katibu)
  39. Tumaini University Dar es salaam College (TUDARCo)
    1. Ndg. Gaspardus Rwebangira (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Herbet Fungo (Katibu)
  40. Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino Tanzania (SAUT), Kampasi ya Malimbe - Mwanza
    1. Ndg. Justine Chacha (Mratibu Mkuu)
    2. Ndg. Mashaka Ng’waje (Mratibu Msaidizi)
    3. Ndg. Neema Omary (Mratibu Msaidizi)
  41. Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Kampasi ya Mizengo Pinda (MPC)
    1. Ndg. Dorothea Kipangula (Mratibu)
  42. Chuo Kikuu Mzumbe (MU) Kampasi ya Mbeya
    1. Ndg. Joshua Mjema (Mwenyekiti)
    2. Ndg. Carol Marendi (Katibu)

NAMNA YA KUWA MWANACHAMA WA THTU.

Read me