MADHUMUNI YA CHAMA (THTU Goals)

  1. Kusimamia na kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu

  2. Kushirikiana, kujadiliana na waajiri kudumisha amani kwa kuboresha mazingira na maslahi ya wafanyakazi mahali pa kazi.

  3. Kuhakikisha kwamba mwajiri anafuata na kuziheshimu sheria za kazi.

  4. Kulinda, kuheshimu, na kutekeleza makubaliano ya pamoja yaliyojadiliwa na kukubaliwa kati ya chama na mwajiri.

  5. Kutekeleza na kusaidia katika utekelezaji wa mikataba ya hali bora za kazi, tuzo na kanuni za nidhamu kulingana na sheria za kazi.

welcome


Management Staff

Read me